Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt. Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana baada ya kufanya mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment