Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro
akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kilelema kilichopo kwenye Wilaya
Mpya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma wakati wa Ziara yake ya kutembelea maeneo
hayo na kuweza kujionea changamoto mbali mbali wanazokabiliana nazo
wananchi hao ikiwa ni pamoja na kutembelea eneo lililotengwa kwa ajili
ya Ujenzi wa Soko la Kimataifa litakalowanufaisha wakazi wengi wa wilaya
hiyo ambao wako kando kando ya Mto Maragarasi unaopakana na nchi jirani
ya Burundi.Dkt. Migiro pia amewaasa wananchi wa maeneo hayo kuwa na
umoja,mshikamano na upendo ili kuweza kuhimarisha mambo mbali mbali ya
Wilaya.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akihutubia
Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Buhigwe ambapo ndipo yalipo makao
makuu ya Wilaya Mpya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma wakati wa Ziara yake ya
kutembelea wilaya hiyo jana.
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akicheza ngoma ya asili ya kabila la Waha waliokuja kumpokea.
Wananchi wa Kijiji cha Buhigwe wakimuaga Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa CCM katika Kijiji cha
Mnanila,Wilayani Buhigwe.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro
akiwasalimia wananchi wa Kijiji cha Mnanila kilichopo kwenye Wilaya Mpya
ya Buhigwe,Mkoani Kigoma wakati akiendelea na Ziara yake ya kutembelea
Kata zote zilizopo wilayani humo.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akizungumza
na wananchi wa Kijiji cha Buhigwe ambapo ndipo yalipo makao makuu ya
Wilaya Mpya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma wakati wa Ziara yake ya kutembelea
wilaya hiyo jana.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwapungia
watoto wa Kijiji cha Kilelema kilichopo kwenye Wilaya Mpya ya
Buhigwe,Mkoani Kigoma mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi wa
Kijiji hicho jana.
Mmoja
wa wananchi wa Kijiji cha Buhigwe ambapo ndipo yalipo makao makuu ya
Wilaya Mpya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma wakati wakimsikiliza Katibu wa
NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro aliekuwa kwenye
Ziara ya kutembelea wilaya hiyo jana.
Mkuu
wa Wilaya ya Buhigwe,Ndg. Gishuli Mbegesi (kulia) akikabidhi Taarifa ya
Utekelezani wa Ilani ya Uchaguzi kwa Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea
ripoti ya Chama Wilaya ya Buhigwe,kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya
Buhigwe,Bi. Bennosa Mjema.Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya hiyo,Ndg.
Elisha Bagwanya
Baadhi
ya Wakazi wa Kijiji cha Buhigwe wakimsikiliza Katibu wa NEC,Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro aliekuwa kwenye Ziara ya
kutembelea wilaya hiyo jana.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akicheza
ngoma ya asili ya kabila la Waha sambamba na Bibi Buchiro Edmas Kapina
wakati wa Ziara ya kutembelea wilaya ya Buhigwe,Mkoani Kigoma jana.
Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akilakiwa kwa shangwe na kinamama wa Kijiji cha Kilelema.
Mjumbe
wa Halmashauri ya Kijiji cha Kilelema,Everist Samson akisoma taarifa ya
kijiji kuhusiana na changamoto mbali mbali zinazowakabili wananchi wa
kijiji hizo zikiwemo zile za kuvamiwa na majambazi wanaotoka nchi jirani
ya Burundi.Kijiji hiki kipo mpakani kabisa mwa Tanzania na Burundi kwa
kijiji cha Buhema Mkoani Lutana,nchini Burundi.
Wananchi
wa Kijiji cha Kilelema kilichopo kwenye Wilaya Mpya ya Buhigwe,Mkoani
Kigoma wakimsikiliza kwa makini Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro (hayupo pichani).
Mwenyekiti
wa Kijiji cha Kilelema,Benedict Samson Mahuta (kulia) akitoa ufafanuzi
juu ya eneo la Soko kwa Katibu wa NEC,Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro (katikati),alietembelea eneo
litakalojengwa soko la Kimataifa katika Kijiji hicho cha Kilelema.
Picha ya Pamoja na Watendaji wa Kijiji cha Kilelema.
Katibu
wa NEC,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro (pili
kulia) akiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe,Ndg. Gishuli Mbegesi
Charles (kushoto) kuelekea kwenye eneo la mpaka wa Tanzania na Burundi
unaotenganishwa na sehemu ya Mto Maragarasi.
0 comments:
Post a Comment